HABARI KARIBUNI KWENYE DARASA LETU ↴
Leo ningependa kuwajuza habari nzur kuhusiana na application za android ambazo unaweza kuangalia MOVIE na Muziki kwa kuweza kupakua (download) kupitia simu yako. Application hii
ni nzuri kwani unapakua kitu chenye quality kubwa (high definition).
angalia App nzuri ambazo unaweza kutumia kuweza kupakua nyimbo au filamu moja kwa moja kwa kutumia simu yako ya Android. Basi bila kupoteza muda Twende tukangalie App hizo.
- APPLICATION 5 BORA ZA KUDOWNLOAD MOVIE NA MZIKI KWENYE
SMARTPHONE YAKO
- DOWNLOAD ACCELERATOR
Ni aina ya app ambayo itaweza kukusaidia wewe kuweza kudownload movies nyimbo files au videos kupitia simu yako ya smartphone. Unaweza kudownload files kama vile za GAMES mpaka za GB 15 20 na kuendelea huwa inategemea na kiwango chako cha mb kwenye simu yako.
Faida ya DOWNLOAD ACCELERATOR
- unaweza uka pause file yako nyimbo mziki au movie yako baada ya kuishiwa mb au charge kwenye simu yako
- Unaweza kudownload mafiles makubwa kwa haraka kwenye simu yako
Download Kupitia Playstore
Download Kupitia Aptoide
2 ADVANCED DOWNLOAD MANAGER [ADM]
Hii ni aina ya app ambayo unaweza kutumia browser au link yoyote unayoitaka kwenye kuapkua video movies au audio kwenye simu yako. App hii hiko kama DOWNLOAD ACCELERATOR
Hili uweze kutumia app hii utabofya kidude cha kushoto juu ya app yako baada ya kuifungua app hii unaweza kuweka link yeyote kwa kuweza kudownload inadownload movies faster na wa haraka kuliko #DA
Download kupitia PLAY STORE
0 Comments