Zuia Picha Mbaya Whatsapp

Zuia Picha Mbaya Whatsapp



Mambo mengi tunataarifiana kwenye WhatsApp. Kuna ya kufurahisha ila kwa bahati mbaya pia, kuna mengi yanakwaza.
Picha za kutisha au chafu zinaweza kukwaza na kukuharibia siku. Kwa bahati nzuri, unaweza ku- zuia hizo picha mbaya WhatsApp kwa kuingia kwenye menu >> settings >> chat settings >> Media auto-download na toa tiki zote kwenye viboxi vilivyowekwa kwenye ‘when using mobile data’, ‘wifi’ na ‘roaming’. Hapo utakuwa na uhuru wa kuchagua picha gani unataka pale zinapoingia.
image
Kumbuka pia kwamba kuna mambo mengine ambayo pengine hujui kuhusu WhatsApp hapa ->> hapa!
Unaweza kuchagua picha na kuishusha au unaweza kuipotezea.
Reactions

Post a Comment

0 Comments